TAMBA NA WORLD MOBILE

Furahia INTANETI ya kasi, NAFUU na ya
UHAKIKA kupitia App ya World Mobile.

Google Play

Vifurushi

Vifurushi vyetu ni vya GHARAMA NAFUU na unavitumia kwa MUDA MREFU. Ili kufikia mipango yetu unahitaji kupakua programu.

Vifurushi vya SIKU

Vifurushi hivi vinaisha ndani ya SAA 24.

 • Kiduku

  250MB

  Siku 1
  250Tshs
 • Inayopendwa zaidi.

  Jinafasi

  600MB

  Siku 1
  500Tshs

Vifurushi vya SIKU 90

Chagua moja ya vifurushi vyetu vya SIKU 90 uvimbe kidigitali MIEZI yote MITATU.

 • Pambazuka

  1GB

  Siku 90
  1,100Tshs
 • Rumba

  5GB

  Siku 90
  5,000Tshs
 • Kubwa Kuliko

  30GB

  Siku 90
  25,000Tshs

App ya World Mobile

App yetu inapatikana kwenye simu zote za Android kuanzia 6.0. Pakua App yetu sasa kupata ofa zetu. Unaweza kupakua App bure kabisa kupitia Google Play na pia kipitia Mtandao wa World Mobile ukiwa karibu na mitambo yetu.

Unapokuwa karibu na mitambo yetu jiunge na mtandao wetu wa World Mobile, alafu fuata maelezo ya jinsi ya kupakua App yetu.

Google Play
Our App imageOur App image
Google Play

Kwanini World Mobile

 • affordable

  Intaneti NAFUU kuliko zote sokoni

  Ni kuanzia Tshs 250 na MB za kutosha.

 • calendar

  Muda wa kutosha kufaidi kifurushi chako

  Unaweza kutumia kifurushi hadi siku 90.

 • device

  Kasi ya JUU na ya UHAKIKA

  Popote palipo na Airnode unafaidi.

Maeneo Tuliyopo

Maeneo Tuliyopo

Ueneaji wa mtandao wetu unakua; kwa sasa tuna 0 AirNodes kote duniani.

AirNodes zetu ni vituo vya Wi-Fi. Tazama alama ya W.

Kuhusu World Mobile

Kuhusu World Mobile

World Mobile ni mtandao wa simu wa kimataifa ulioundwa kupitia teknolojia ya blockchain na uchumi shirikishi.

Tunaamini katika kila mtu kuwa na nafasi kwenye ulimwengu wa digitali, usimamizi binafsi wa data, utunzaji wa mazingira, umiliki wa nyaraka zako binafsi za utambulisho, na ukuaji wa kiuchumi kwa wote.

Tunatoa Internet ya KASI na iliyo ya GHARAMA NAFUU kuliko mitando mingine yote ya simu.

about-us

Bofya Kupakua App

Google Play